Hii ni bei ya Inche moja na nusu hii Sprinkler ina nozzle 10mm mpaka 24mm yenye pressure 2 mpaka 6 na inazunguka kwa mfumo wa 360 ni nzuri kwa sababu inafunika eneo kubwa,inaokoa muda na nguvu kazi,Nozzle hubadilika kulingana na hitaji,inadumu kwa muda mrefu na rahisi kufunga kwenye Stand au pipe.