Matumizi yake ni kwenye kilimo cha mazao kama vile mboga, vitunguu,nyanya na cabbage, mahindi, mpunga nakadharika, bustani na lawns kama kumwagilia nyasi na maua hata katika mashamba makubwa na kwenye shughuli za ufugaji kwa kupunguza joto kwa mifugo.