JE WAJUA KUA UNAWEZA RAHISISHA KAZI ZA SHAMBA
Haina haja ya vibarua wengi shambani wa kupandikiza
Nunua mashine hii moja iwe mbadala wa wawafanyakazi wa 5+ shambani
Mashine hii inapanda mbegu za mpunga miche kwa mistari miwili
Mashine hii ni manual laini isiyo na mambo mengi
Unaivuta tuu huku ikipanda mche wa mpunga na kufukia vizuri
Unaweza kutumia kwenye jaruba la tope na kavu