Hii bei ya Inche mbili hii Hutumika kusambaza maji kwa sare, kudhibiti flow rate ya maji, kupunguza erosion ya udongo,kusaidia mbolea ya maji,kusaidia kuotesha mbegu kwa upole na kupunguza labour cost yaani gharama za wafanyakazi ni nzuri ngumu na zinadumu kwa muda mrefu.