Hii bei yake ni 150 tumeweka 1500 kwa sababu Jiji hairuhusu kuweka hela yenye kiasi ya shillingi ndogo ni nzuri kwa kusambaza maji sawa kwa kila mmea, kudhibiti mtiririko wa maji kwa nguvu nyingi au kidogo sana,kuokoa maji,kuboresha ukuaji wa mimea na inafaa kwa mashamba makubwa au marefu.Hii ina Lita 4, Lita 8 mpaka Lita 100.