Hapa ni bei ya size 0.75mm ni nzuri pia kulingana na matumizi yake kwa samaki ,Azolla kwa kurishia mazao ya mifugo kwa sababu ni nzuri na imara kwa kuhifadhia maji yasipotelee kwenye ardhi ili kuboresha ukuwaji wa samaki na kuendea shughuli zote za shambani.