Hizi hutoa maji sawa hata kama shamba Lina mteremko ni bei nafuu na rahisi kutengeneze kwa sababu hazina ugumu na zina matundu yake moja kwa moja,Husaidia kuhifadhi unyevu wa udongo kwa muda mrefu na kupunguza magugu kwa sababu maji hayaendi kwa maemeke.