Mashine ya kutengeneza pellets (punje punje) kwaajili ya mifugo zipo kwetu. Inatumia umeme wa kawaida(single phase) . Faida za kutumia mashine ni pamoja na kupunguza gharama za ufugaji na kuwapa mifugo wako lishe bora na iliyoandaliwa vizuri. Mashine ina uwezo wa kutengeneza kilograms 150 hadi 200 kwa saa.
Karibu sana Mfugaji