Hii ni bei ya Inche moja nzuri kwa kusambaza maji kwa mduara wa 360 na nusu mduara wa 180 ni nzuri kwa kunyunyizia maji kwa umbali mrefu, kudhibiti mwelekeo wa maji, kufanya kazi kwenye pressure kubwa pamoja na kutoa maji kwa usawa na ufanisi mkubwa.