Hutumika kuchuja uchafu wote na takataka zote kwenye maji kwa kulinda drip lines na sprinkler system ili zisizibe na zinafaa kwa Borehole, River, Dam,Tank katika kilimo cha kisasa mashambani kwa kuongeza ufanisi wa maji na kupunguza uharibifu wa mfumo wa umwagiliaji.