kama bado ujachukua maamuzi basi anza sasaa
nguruwe wako wasipate shida tumia pig nipples za kisasaa
nipples hizi zita rahisiha matumizi ya maji bandani
nipples hizi zitafanya banda lako kuwa kavu muda wote
nguruwe wako watapata maji safi na salama muda wote
unaweza kufunga kwenye ndoo,jaba,pipaa nk