Hii ni bei ya Inche Tano ya Disc Filter hutumika katika drip irrigation system, micro sprinklers na foggers, maji ya Borehole River Dam Tank na kilimo cha mboga mboga, matunda na maua ni nzuri kwa kuchuja vizuri zaidi kwa sababu zinaruhusu maji kupita kwa usawa zaidi na kuondoa takataka zote zinasababisha kuziba kwa drip lines.