Hii hugawa maji kwenda njia tatu,kuunganisha na kifaa chenye female thread kwa kuwa ina outer thread,huunganishwa na female Tee,female adapter,valve,filter au sprinkler lakini pia inatumika kwenye drip irrigation,rain hoses na sprinkler system kugawa au kupeleka maji kwenye mistari tofauti na huwezesha kuongeza au kubadilisha kifaa bila kuvunja bomba lote.