Hizi hufungwa kwenye bomba za maji katika umwagiliaji ni ngumu imara na zinadumu kwa muda mrefu hata katika bomba za nyumbani zinatumika kwaajili ya kuruhusu maji kupita kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine zinapatikana kwa size tofauti tofauti kulingana na ukubwa wa bomba na namna zinavyotumika katika mashamba.