Husambaza maji vizuri kwa mzunguko wa mduara au nusu mduara, kumwagilia mimea kwa usawa, kupunguza matumizi ya maji na kuweka unyevunyevu kwenye udongo bila kumomonyoa, kumwagilia bustani, kumwagilia nyasi, kutumika kwenye vitalu vya miche na kutumika Katika mashamba madogo na kumwagilia mboga mboga kama karoti, mchicha na nyanya.