Hizi zinatofautiana katika thickness yaani Kuna 0.75mm, 1mm, 1.5mm ni nzuri kwa matumizi kulingana na jinsi zinavyodumu kwa muda mrefu kwa sababu hazitoboki kirahisi, hupunguza gharama za maji, na hutumika katika kilimo, kufuga samaki water garden swimming ponds na kuhifadhi maji ya matumizi ya kawaida.