Nzuri kwa kuoteshea mbegu za miche ya mazao zina size tofauti tofauti kulingana na wingi wa miche zinapatikana kuanzia matundu , 21 mpaka matundu 288 ni nzuri ngumu na imara kwa sababu unaweza kuzitumia zaidi ya mara moja kulingana na namna unavyozitunza.