Kazi yake ni kusambaza maji kwa eneo kubwa, kurusha maji kwa umbali mrefu, kutoa maji kwa usawa, kufanya kazi kwenye pressure ya kati hadi kubwa pamoja na kudhibiti mwelekeo wa maji katika matumizi ya kilimo, bustani, viwanda na mifugo kama kupooza mifugo na kusafisha mabanda.