Zina urefu wa Mita 500 na zenye matundu ya kuruhusu kupita maji kutoka eneo moja kwenye lingine zinafaa kwenye matumizi ya vitunguu hata miche ya miti hasa ili kurahisisha ukuwaji wa mazao ya chakula na kuepusha upotevu wa maji mengi kwa wakati mmoja.