Kazi yake ni kusambaza maji kwa eneo kubwa, kugeuka taratibu kwa mzunguko wa 360, kudhibiti direction ya maji, kupunguza matumizi ya maji kwa umwagiliaji mzuri na kutoa maji kwa nguvu au kwa upole kulingana na pressure yake. Hutumika mashambani, kwenye viwanja vya mipira pamoja na kumwaga maji kwenye maeneo makubwa ili kupoza joto na katika greenhouse kubwa.