Hutumika katika kuoshea magari hata kusafishia maeneno yenye vumbi kama madirisha na milango ya Aluminum,Ni nzuri katika umwagiliaji pia wa bustani na mashamba madogo madogo lakini pia zinakuwa zinaongezeka upana kulingana na maji yanavyotiririka na baadae kurudi kwenye hali ya kawaida baada ya maji kukata ni nzuri na zinadumu kwa muda mrefu.