Zina urefu wa Mita 1000 kwa Mita 2000 na zinatofautiana kwenye thickness Kuna za 15 cm, 20 cm, 40 cm nzuri kwa kumwagilia maji shambani kwa njia ya matone kwenye mazao kama vile mahindi, maharage, nyanya, vitunguu, kabichi hata katika vitalu vya miche.