*mashine mpya ya kisasa kabisa kwaajiri ya kutotoleshea mayai ya aina zote
*Ni fully automatic kila kitu yaani inajigeuza mayai yenyewe
*Inatumia umeme wa kawaida TANESSCO na pia unaweza kutumia umeme wa solar system BATTERY
*Ni ngumu sana kuwahi kutokea Tanzania
*Inauwezo wa kutunza joto endapo umeme ukikata
*Inatumia umeme kidogo sana mpaka kuangua
*Ni toleo jipyaa kabisaa 2023
*Bei ni simple na inayo muwezesha mfugaji