Hii inamwaga maji kwa umbali wa radius kuanzia Mita 14 - 18 m inabadilika kulingana na pressure ya maji, Nozzle size, Urefu wa kusimika Sprinkler, Upepo, Ubora wa sprinkler yenyewe.Lakini pia faida yake ni haitoki kirahisi, inavumilia jua Kali na joto, haiharibiki haraka kwa sababu imetengenezwa kwa material ya Aluminum na inafanya kazi vizuri hata kwenye pressure kubwa na ina maintenance ndogo na rahisi sana kwa kutumia.