Jipatie Exhaust Fan Mahususi Kwa Ajili Ya Kutoa joto bandani na Kuwezesha Muzunguko Mzuri Wa hewa Safi bandini
Hizi Unafunga kwenye Mabanda Ya Kufugia kuku au Mifugo kwa ajili Ya kurahisisha mchakato mzima wa hali ya hewa Bandani
Huwawezesha Kuku Kupata Hewa SAFI na Salama Muda wote
Ni Imara kwa Matumizi Ya Katita Hali zote
Tunapatikana Mbezi Beach Jogoo Madukani Dar es Salaam Tanzania.