Hii ni bei ya Inche mbili ni nzuri kwa umwagiliaji wa kilimo cha kisasa zinasambaza maji kwa umbali mrefu kudhibiti mwelekeo wa maji kwenye mifumo ya umwagiliaji zinapatikana kwa size ya Inche moja na nusu na Inche mbili ambapo Inche moja na nusu ni 400,000 na husaidia kuotesha mazao kwenye ubora wa hali ya juu.