Tunauza taa maalumu kwa ajili ya kulelea vifaranga.(infrared)
■call/text
+ holder buree...
taa hizi hutoa mwanga mwekundu ambao hupelekea kifaranga kula vizuri chakula pia humpunguzia stress.
taa moja hutosha kwa vifaranga 100.
hutoa joto la kutosha.
hudumu kwa muda mrefu bila kuungua.
hutumia umeme kidogo
huitaji tena kutumia mkaa hivyo hupunguza gharama
huepusha uwezekano wa vifaranga kupata magonjwa ya mfumo wa hewa yanayo sababishwa na gesi za carbon monoxide.
tuna watts 100/150 200/250.
zinakuja na warranty ya miezi kumi.
zinakuja na holder yake moja bureee.
tupo dar es salaam
(tegeta)
agiza- tukuletee- tukukabidhi.