Hii Hutumika kuunganisha tundu mwishoni mwa bomba ili kuzuia maji kupita au kutoka wakati wa umwagiliaji ni nzuri sana kwa sababu inasaidia kuepusha upotevu wa maji mengi wakati wa umwagiliaji wa kilimo cha kisasa ina size nyingi na bei ya hii ni ya Inche mbili karibuni sana.