Hapa Kuna bei ya Inche mbili ambapo kuna size tofauti tofauti ni nzuri sana katika kufunga na kufungua maji kwenye HDPE au Poly pipes, kudhibiti mtiririko wa maji kwenye irrigation system,kugawa maji sehemu mbali mbali na rahisi kufunga bila gundi au moto ni imara na zinadumu kwa muda mrefu kwa sababu valve yake ni ya plastic inayothibiti maji kwenye poly pipe.