Kazi yake ni kuondoa mchanga mzito kwa nguvu ya mzunguko kutoka kwenye maji ya kisima yenye mchanga mwingi na kuwekewa kabla ya filters nyingine pamoja na kuchuja uchafu wa kawaida kwenye pipe kwenye systems ndogo za maji nyumbani au irrigation ndogo.