Ni machine ya kufyeka majani na vichaka
Unaweza kusafishia mashamba,garden,kukata miti na kupalilia mahindi na maharage
Mashine hii inakuwa na brush,panga na msumeno
Inatumia petrol kidogo na unafyeka heka 1 kwa 3L
Ni ngum na imara zaidi zisizoo alibika kirahisi
Unaivaa mgongonii ni nyepesi na rahisi kwa matumizi