New grass cutter available
#specification
mashine bomba za kisasa zinazo tumia engine ya petrol
zinaweza kufanya kazi zaidi ya tatuu kwa machine moja
ni ndogo unayoweza kuivaa mgongoni zaidi ya masaa 3
engine yake ni imara na ni 4stroke
unaweza kufyea,kupalilia,kukata na kuvunia
unaweza itumia kwenye bustani ya nyumbani na hata shambani
ni ngum na imara zaidi ambayo inadum kwa zaidi ya miaka 10
ina jembe,panga,msumeno na brush imara sana
dar es salaam na mbeya unalipia mzigo ukikufikia
#jeff_agriculture_farm_field_is_future