Ni fully automatic incubator machine inayo geuza mayai yenyewe
Zinatumia umeme wa kawaida TANESSCO na umeme wa solar
Ni mahususi kwajiri ya kutotoleshea vifaranga wa aina zote
Ni imara sana kuwahi kutokea Tanzania
Inatunza joto kwa masaa 6-8 endapo umeme ukikata
Ni automatic machine