Hii pia ina Inche robo tatu mpaka Inche Tano hapa ina bei ya Inche mbili hutumika kugawa maji kwenda njia tatu,kuunganisha bomba na kifaa chenye male thread. Hivyo huunganisha moja kwa moja na male adapter,nipple,valve au sprinkler ni rahisi kufunga na huwezesha kuongeza au kubadilisha kifaa bila kuvuja mfumo mzima wa bomba.