Kutana na wauzaji wa mashine za kutengeneza vyakula vya mifugo kama vile kuku, Bata, ng'ombe, mbuzi, n.k.
Mashine hii inakurahishia wewe mfugaji kutengeneza lishe ya wanyama wako ikiwa na mchanganyiko wa virutubisho mbalimbali Kwa ustawi wa mifugo yako.
Kuna model 125, 150 na 160.