Liners zina matumizi mengi ambapo hutumika katika kilimo kwa kuhifadhi maji ya umwagiliaji, kutunza maji ya greenhouse, hutumika katika ufugaji wa samaki kwa kutengenezea fish ponds,kufuga tilapia, catfish na kambale,hutumika katika mifugo kwa kuhifadhi maji ya kunyweshea ng'ombe,mbuzi na kondoo pia katika ujenzi na miradi kwenye mabwawa ya maji ya mvua.