Husaidia kusambaza maji katika maeneo makubwa kama shambani, bustanini,kusafisha greenhouse, kunyunyizia maji kwenye barabara za vumbi, vitalu vya hotelini na lodges hata vitalu vya miche na kuendelea zinapatikana kwa Inche moja na nusu na Inche mbili zenye nozzle 10mm mpaka 24mm ni nzuri ngumu imara na zinadumu kwa muda mrefu kulingana utendaji kazi wake.