Hii ni bei ya Inche moja na nusu Hutumika kubadilisha njia ya bomba kwa pembe ya 90 au 45, kuunganisha bomba mbili zenye kipenyo sawa, kutengenezea Kona kwenye greenhouse,drip line, sprinkler lines na kufunga katika mifumo ya umwagiliaji kwenye drip irrigation, micro irrigation pamoja na PVC system.zinapatikana kwa Inche tofauti tofauti kuanzia robo mpaka Inche Tano.