Hizi ni nzuri kwa kusambaza maji kwa mzunguko (spray pattern ya duara au nusu duara), kumwagilia mimea kwa usawa, kupunguza matumizi ya maji na kuweka unyevunyevu kwenye udongo bila kumomonyoa hii ni nzuri kwa bustani,vitalu na mashamba madogo kwa kusambaza maji kwa usawa na inaokoa maji bei ni nafuu na ubora wa hali ya juu.