Hii ni inafaa kwa umwagiliaji wa mashamba makubwa na marefu hasa kwenye greenhouses,vitalu,mashamba yenye mteremko, huboresha ukuaji wa mimea kwa kiwango sawa kwa sababu hakuna anayepewa maji mengi au machache Wala kumwagilia kupita kiasi Bali maji hutoka taratibu na kwa kiwango sahihi.