Disc Filter hutumika kuzuia na kuchuja uchafu na takataka zote zinasababisha kuziba kwa drip lines kama mchanga, tope, majani, kutu na kulinda mimea dhidi ya kukosa maji ya kutosha na huzuia kuziba kwa drip lines na sprinkler system ili iweze kuruhusu maji kuwa safi zaidi kwa umwagiliaji wa kisasa.