Hii ni inche mbili inarusha maji kwa umbali wa radius 18 - 25 m inaweza kubadilika kulingana na pressure ya maji, Nozzle size, Urefu wa kusimika Sprinkler, Upepo na Ubora wa sprinkler ambapo matumizi yake ni kwenye kilimo,bustani, mifugo, viwanda kwa kumwagilia ili kupunguza vumbi na kusafisha maeneo makubwa.