chaff cutter tani 5 — bei unatafuta mashine imara ya kukata malisho ya mifugo kwa haraka? chaff cutter yetu ya tani 5 ni suluhisho kwa wafugaji wanaotaka kuongeza ufanisi wa kazi zao.
zipo za umeme na za mafuta ya diesel! chagua mashine kulingana na mahitaji yako na mazingira ya kazi.
toleo la diesel lina injini yenye nguvu ya 8hp, tayari kukusaidia kurahisisha maandalizi ya malisho.
inafaa kwa wafugaji wanaohitaji kurahisisha ukataji wa malisho kwa mifugo yao na kuokoa muda wa kazi.
acha kutumia muda mwingi kukata malisho kwa mikono, tumia mashine na uboreshe shughuli zako za ufugaji!
bei ni
jeff agriculture farm — dar es salaam, lilian kibo
+
+
jeff agriculture farm