*Ni chaff cutter za kisasa kabisa zilizo tengenezwa kwa material mazuri na imara zaidi
*Zinauwezo wa kusaga magunzi,majani,miti mkubwa na midogo
*Zinatumia umeme kidogo sana
*Unaweza kutengeneza chakula cha mifugoo Aina zotee
*Zinatengeneza tani moja na nusu kwa saa moja
*Ufanisi mkubwa sana na imara zaidi