Dam liners ni nzuri kwa sababu hazitoboki kirahisi, inadumu kwa miaka mingi, inastahimili jua na na baridi, rahisi kufunga, inapunguza gharama za maji na inafaa kwa matumizi ya ndani na nje katika kilimo, ujenzi na miradi, nyumbani, mifugo na ufugaji wa samaki.