PUNGUZA VIBARUA SHAMBANI ONGEZA KIPATO
Ukiitumia kibiashara inalipa zaidi
Kwa matumizi binafsi inakupa uhuru wa kifedha
Ukiwa na brush cutter mashine moja tuu
Unaweza kufanya kazi zote shambani inakuja na vifaa zaidi ya kimoja
Mashine hii inalima,kupalilia,kuvuna majani au mpunga
Haina haja ya kuwa na vibarua wengi shambani