Hii ni inche moja na nusu mara nyingi humwaga maji kwa umbali kuanzia radius 18 - 25 m kulingana na pressure ya maji yaani ikiwa ndogo na radius inakuwa ndogo ikiwa kubwa na radius inakuwa kubwa, kulingana pia na Nozzle size, urefu wa kusimika Sprinkler, upepo na ubora wa sprinkler unavyofanya kazi na utendaji kazi wake.