Hiki ni kifaa cha umwagiliaji kinachotumika kutoa maji kidogo kidogo moja kwa moja kwenye mizizi wa mmea hutumika kumwagilia mimea ya bustani kama nyanya, pili pili, hoho, matango, stroberi, hupunguza matumizi ya maji yasiweze kupotea kwa kumwagilia eneo lote,pamoja na hayo inaweza kuunganisha kwenye chupa ya maji kwa kilimo cha gharama ndogo.