*Ni pillet machine za kisasa zinazo weza kutengeneza chakula mpaka kilo 100 kwa saa
*Zinatumia umeme mdogo sana na ni umeme wa majumbani
*Unaweza kutengeneza chakula cha kuku wadogo na wakubwa
*Ni simple na salama zisizo na muungurumo mdogo usio keraa