Ni mashine ya kutotoleshea mayai ya aina zote
Mashine hizi ni fully automatic kila kitu yaani inajigeuza mayai yenyewe
Inatumia umeme wa kawaida TANESSCO na pia unaweza kutumia umeme wa solar system BATTERY
Ni ngum na imara zaidi ambazo hazivunjiki kwa urahisi
Ni mahususi kwajiri ya mifugo ya aina zote
Uanguaj wake ni 98%